资讯

Jumatano, Aprili 2, 2025, Simba itakuwa ugenini katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji wao Al Masry ya Misri kuanzia saa 1:00 usiku kwa muda wa Afrika ...
LONDON, ENGLAND: MAMBO ni moto. Ligi Kuu England inaweza kuwa na madirisha mawili ya usajili wa majira ya kiangazi mwaka huu baada ya klabu kupiga kura na kukubaliana jambo ya hilo. Utaratibu wa ...
UNAPOTAJA nyota wa kigeni waliofanya vizuri na kujiwekea rekodi za kipekee, hutoacha kumtaja mshambuliaji wa zamani wa timu za Simba, Singida Big Stars na sasa Namungo FC, Meddie Kagere ‘MK14’, ...
Utamu zaidi ulikuwa hasa bao la mwisho, lililotokana na kona ya haraka ya Trent Alexander-Arnold, ambapo mabeki wa Barcelona waliduwaa sekunde tu na kufungwa bao lililowapeleka Liverpool fainali.