ATE yazindua Mtandao Uwezeshaji Watu wenye Ulemavu Mahali pa Kazi. Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) kimezindua rasmi Mtandao wa Uwezeshaji wa Watu Wenye Ulemavu Mahali pa Kazi Nchini (NBDN), hatua ...
WATU 700 wamepatiwa huduma za uchunguzi wa magonjwa ya moyo katika maonesho ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika jijini Arusha. Huduma hizo zilitolewa kwa muda wa siku saba katika ...
Watu wanao changia damu mara kwa mara wana uwezekano mkubwa wa kuwa na mabadiliko ya (jeni) vinasaba katika damu yao, mabadiliko ambayo yanaweza kupunguza hatari ya kupata saratani, unaeleza ...
Saa ishirini na nne baada ya kukamatwa kwao, watu 20 wanaoshukiwa kushiriki katika mauaji ya watafiti wawili kutoka Taasisi ya Utafiti wa Jiolojia na Madini ya Garoua, Frédéric Mounsi na ...
Tangi la kuhifadhia maji likitazama mji. Pesa ambazo watu huzipata kupitia YouTube zimebadilisha uchumi wa kijiji, wenyeji wanasema. Wakazi ambao wameunda chaneli za YouTube na kujipatia mapato ni ...