Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Dk. Emmanuel Mkilia, amesema ni kosa kisheria kubandika matokeo ya mitihani kwenye mbao za matangazo kwa kuwa ni taarifa binafsi ...
Moto mkubwa wa misituni unaoendelea kwa siku ya tano mfululizo katika maeneo ya kusini mashariki mwa Korea Kusini ...
Nchini Korea Kusini, moto mkubwa wa misituni unaoendelea kwa siku ya tano mfululizo katika maeneo ya kusini mashariki ...
Tanga. Imeelezwa idadi ya meli zinazotumia bandari ya Tanga imeongezeka kutoka 118 hadi kufikia meli 307 kwa mwaka 2019 hadi 2025 baada ya uwekezaji uliofanyika wa kuongezwa kina na upanuzi wake. Pia, ...
Katika hii ya kidijitali na inayobadilika kwa kasi, teknolojia ya akili mnemba (AI) imekuwa sehemu muhimu ya sekta mbalimbali, ikiwemo uandishi wa habari. Katika mkutano wa "Ubunifu AI kwa ...
Muasisi wa Taasisi ya Doris Mollel (DMF), Doris Mollel (wa saba kulia waliosimama) akiwa katika picha ya pamoja wadau wengine wa masuala ya watoto njiti. Dar es Salaam. Februari mwaka huu, Tanzania ...
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imezindua hatifungani inayozingatia misingi ya sheria ya Kiislamu inayoitwa Zanzibar Sukuk. Hatifungani hiyo ni ya kwanza kutolewa na serikali katika nchi zote ...