APRILI 7 mwaka 1972 visiwa viwili vya Unguja na Pemba pamoja na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huzuni kubwa ilitanda ...
Meli ya utafiti wa bahari na samaki, Dk Fridtjof Nansen kutoka Norway, inatarajiwa kuanza utafiti wake nchini.
Kamati ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuwa uchumi wa Taifa unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ...
Matukio ya udhalilishaji wa watoto kama ubakaji na ulawiti si jambo geni huko visiwani Zanzibar. Kwa mujibu wa UNICEF, asilimia 64 miongoni mwa kesi za udhalilishaji, ni udhalilishaji wa kingono ...
Timu ya soka ya Dream FC ya Ferry Kigamboni imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Samia Cup kwa kuichapa Wahenga FC mabao ...
Serikali ya Zanzibar leo imetoa ripoti ya uchunguzi wa kuzama kwa meli ya MV Spice Islander hapo Septemba 10, 2011 eneo la Nungwi, Kaskazini mwa kisiwa cha Unguja. Aliyetoa ripoti hiyo kwa niaba ...
RAIS wa Zanzibar Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Mafanikio ya Ukuaji wa Uchumi wa Tanzania Unatokana na Usimamizii Mzuri wa ...
Katika kukuza na kuwaendeleza wabunifu wa kidijitali na wajasirimali, vinajengwa vituo 10 vya bunifu nchini vitakavyogharimu Sh15 bilioni.