Siku chache baada ya chama tawala nchini Uganda, NRM kutangaza kuyakataa matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge kwenye eneo la ...
Shirika la wanahabari wasio na mipaka RSF katika taarifa yake limethibitisha kwamba wanahabari 18 nchini Uganda ...
Chama tawala nchini Uganda kimemteua Rais Yoweri Kaguta Museveni kuwa mgombea wake wa urais katika uchaguzi wa mwaka 2021. Hii inamaana ya kuwa, kiongozi huyo mwenye miaka 74, na aliyeingia ...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema wakati umewadia wa kukomesha vitendo vya kifisadi kwani anawatambua wale wanaofanya vitendo hivyo. Rais Museveni alisema hayo baada ya kuongoza matembezi ya ...