![](/rp/kFAqShRrnkQMbH6NYLBYoJ3lq9s.png)
Mwananchi | Mwananchi
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Unavyosoma taarifa hii ni kwamba kocha wa Yanga, Sead Ramovic atamalizia mchezo huo wa dhidi ya KenGold ...
M23 walianzisha tena DRC, wauteka mji wa Nyabibwe
20 小时之前 · Goma. Zikiwa zimepita siku mbili tangu waasi wa Kundi la M23 watangaze kusitisha mapigano dhidi ya vikosi vya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kwa kile walichotaja ni kuwepo janga la kibinadamu, waasi hao wameibuka na kuuteka mji wa Nyabibwe ulioko Jimbo la Kivu Kusini nchini humo.
Tanzania yataja fursa zitakazopatikana Afcon 2027 | Mwananchi
1 天前 · Dodoma. Mbunge wa Mlalo(CCM), Rashid Shangazi ameitaka Serikali kueleza fursa zitakazopatikana kwa Watanzania mmoja mmoja na vikundi kupitia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 zitakazofanyika Kenya, Uganda na Tanzania. Akijibu swali hilo,bungeni leo Naibu Waziri wa Habari ...
Mwisho wa M23 hauonekani DRC-5 | Mwananchi
2 天之前 · Baada ya hali ya usalama kuzorota zaidi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), huku DRC na Rwanda zikishutumiana kuhusu msaada kwa waasi wa M23, wakuu wa mataifa ya Afrika Mashariki walikutana jijini Nairobi, Kenya, Juni 20, 2022, na kukubaliana kupeleka jeshi la kikanda DRC ili kujaribu kumaliza vita mashariki mwa nchi hiyo.
Watu 35,000 wang’atwa na mbwa 2024, wizara yahaha kusaka …
12 小时之前 · Dar es Salaam. Wakati watu 900 wanafariki dunia kila mwaka kwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa nchini, takwimu zimeonyesha kwa mwaka 2024, takribani watu 35,000 waling’atwa na mbwa huku Wizara ya Afya ikiendelea utafuta chanzo hadi kufikia mwakani. Takwimu hizo zimetolewa leo Alhamisi, Februari 6, 2025 ...
Mfanyakazi Mgodi wa Mwadui adaiwa kujinyonga, aacha ujumbe …
1 天前 · Shinyanga. Mkazi wa Mtaa Mwamala, kata Masekelo mkoani Shinyanga, Andrea Kisandu (43) inadaiwa amejinyonga hadi kufa nje ya nyumba yake katika mti, huku ukukitwa ujumbe kwenye mfuko wa shati alilokuwa amevaa. Tukio hilo la kifo cha Kisandu ambaye alikuwa mfanyakazi wa Mgodi wa Willingson Mwadui ...
Habari - Mwananchi
Habari za kitaifa na kimataifa kutoka Mwananchi, ikiwemo siasa, uchumi, michezo na burudani.
Wananchi walia kukamilika kwa stendi mpya ya mabasi Songea
2024年12月21日 · Akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea mradi huo, mkazi wa kijiji hicho, Celina Kasembe ameeleza kuwa stendi hiyo ikikamilika itasaidia kuwapunguzia gharama za usafiri ambapo kwa sasa wanatumia zaidi ya Sh40,000 mpaka Sh80,000 kukodi usafiri wa teksi kupelekwa stendi kuu ya Songea kwa gharama kubwa.
Rais Samia aligusa Baraza la Mawaziri mara nne 2024
2024年12月25日 · “Kaka yangu Kabudi amefanya kazi nzuri sana kusimamia mazungumzo ya Serikali na mashirika na ndiyo kazi ninayotaka nimkabidhi sasa kindakindaki aendelee na kazi hiyo, ila kazi yake kwa sababu haipo kwenye muundo haitangazwi, mashirika yote kazi zote zitakazoingia ubia na Serikali yeye ataongoza hiyo timu …
Tanzania yaanza kufanikiwa mauzo bidhaa za viwanda nje
2024年12月17日 · Tanzania imefanikiwa kuuza bidhaa mbalimbali za viwanda kwenye nchi zaidi ya 50 duniani, hatua inayochangia kukuza uchumi wa wananchi.